• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • v Katibu mkuu wa UM alaani milipuko kwenye mikutano ya hadhara Zimbabwe, na Ethiopia
  Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Bw. Antonio Guterres amekasirishwa na mlipuko uliotokea kwenye mkutano wa hadhara wa chama tawala uliohudhuriwa na Rais Emmerson Mnangagwa na maofisa wengine wa chama tawala.
  Afrika
  • Aliyekuwa rais wa Maldives ahukumiwa kifungo cha miezi 19 gerezani 2018-06-14

  Mahakama ya jinai nchini Maldives jana imemhukumu aliyekuwa rais wa nchi hiyo Maumoon Abdul Gayoom kifungo cha miezi 19 gerezani kwa kosa la kuzuia utekelezaji wa sheria.

  More>>
  Dunia
  • UNHCR yapongeza hatua za Hispania za kukamilisha msukosuko wa uokoaji baharini 2018-06-18
  Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limepongeza hatua zilizochukuliwa na Hispania kutatua msukosuko wa uokoaji katika bahari ya Mediterranean baada ya meli ya "Aquarius" iliyokuwa na wahamiaji zaidi 600 waliookolewa, kutoruhusiwa kutia nanga na kushusha wahamiaji nchini Italia na Malta.
  More>>
  China
  • Watu laki 2.4 walazimishwa kuacha kutumia dawa za kulevya nchini China
   2018-06-25

  Tarehe 26 Juni ni siku ya kimataifa ya kupiga marufuku dawa za kulevya. Naibu waziri wa sheria wa China Bw. Liu Zhiqiang leo hapa Beijing amesema, hivi sasa nchini China kuna watu laki 2.4 wanaolazimishwa kuacha kutumia dawa za kulevya.

  More>>
  Michezo
  • Chipukizi Didier Munyaneza ashinda ubingwa wa taifa

  Didier Munyaneza mwenye miaka 20 ameshinda taji la mwaka huu la mbio za baiskeli za nchini Rwanda zilizomalizika jana mjini Kigali.

  More>>
  Wiki hii
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Juni 16-Juni 23)

  1.Rais wa China na kiongozi wa Korea Kaskazini wafanya mazungumzo

  2.Rais wa Marekani Donald Trump abadili sera ya kutenganisha familia

  3.Wakimbizi zaidi 32,000 wa Burundi warudi nyumbani kutoka Tanzania

  4.Jeshi la Yemen latwaa udhibiti uwanja wa ndege wa Hodeidah

  5.Watu 34 wauawa kwenye mlipuko wa kujitoa mhanga, na shambulizi la guruneti Nigeria

  6.Mamlaka za Nigeria hazijasema lolote kuhusu tukio hilo.

  7.Pierre Bemba awasili nchini Ubelgiji

  8.Miili ya wahamiaji sita yapatikana, wengine 82 waokolewa pwani ya Libya

  More>>
  Afya
  • Ulaji wa chakula kingi chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja unaweza kuathiri umetaboli

  Watafiti wa Ujerumani wamegundua kuwa ulaji wa chakula chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja ikiwemo hamburger, chips na pizza unaweza kuathiri umetaboli wa mwili, na kusababisha ugonjwa wa maini yenye mafuta na ugonjwa wa kisukari.

  Sayansi
  • Barafu nyingi huenda ziko chini ya ardhi ya mwezi

  Watafiti wa Chuo Kikuu cha Kaskazini Mashariki cha Japan wamesema wamegundua madini kwenye miamba ya mwezi, ambayo inaonesha kuwa huenda kuna barafu nyingi chini ya ardhi ya mwezi. Na kama makisio haya yakithibitishwa, kituo kitakachojengwa kwenye mwezi kitaweza kuzalisha maji ya kunywa na nishati ya Hydrogen kwa barafu hizi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako